1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msitu wa mvua wa Kongo na kitisho cha kutoweka

22 Machi 2024

Robo ya msitu wa mvua wa Kongo ambao ndiyo mkubwa zaidi Afrika imo kwenye hatari ya kupotea ifikapo mwaka 2050. Chanzo cha hilo ni mioto ya nyika na biashara ya magogo. Lakini teknolojia mamboleo inaweza kusaidia kuunusuru. Tizama video hiyo upate ufafanuzi.

https://p.dw.com/p/4e0wS
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio