SiasaUgandaMuseveni aitetea sheria ya kupinga ushogaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaUgandaJacob Safari01.06.20231 Juni 2023Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameutetea uamuzi wake wa kutia saini na kuufanya kuwa sheria, muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Museveni serikali yake iko tayari kunyimwa misaada na vikwazo kutoka kwa mataifa ya Magharibi. https://p.dw.com/p/4S4FoMatangazo