1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano kati ya Ujerumani na Uturuki

Oumilkheir Hamidou24 Machi 2017

Baada ya wiki kadhaa za mvutano na matusi kutoka Ankara dhidi ya serikali ya Ujerumani, Uturuki inasema wanasiasa wa chama tawala hawatohudhuria tena mihadhara ya kampeni za kura ya maoni ya katiba iliyopangwa kuitishwa April 16. Oumilkheir anafafanua undani wa mzozo kati ya nchi hizo mbili katika Sura ya Ujerumani.

https://p.dw.com/p/2Zt6y