Mji wa mpaka wa Bunagana ulioko Kivu Kaskazini ulikabiliwa na udhibiti wa waasi wa M23 ambao walikuwa wameanzisha mashambulizi miezi michache kabla ya kuondoka kwenye vilima vya kimkakati. Mwaka mmoja baada ya uvamizi huu, wahusika wa kijamii na kisiasa walijibu, huku wakimbizi wakiomba amani irejeshwe maeneo. Kwa kina zaidi, tumsikilize mwenzetu Ruth ALONGA kutoka Goma.