Baada ya chama cha upinzani nchini Tanzania cha ACT Wazalendo kumchagua mwenyekiti mpya Juma Duni Haji, mwanachama mzoefu na mwenye taji riba kubwa, DW Kiswahili ilipata wasaa wa kuzungumza naye kwa kina kusikia namna alivyojiandaa kukipeleka mbele chama hicho, kutoka kwa mtangulizi wake na nguli wa siasa Maalim Seif Sharif Hamad. Sikiliza mahojiano ya Kinagaubaga.