Mzozo wa kivita umekuwa ukitokota mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kati ya jeshi la serikali na kundi la waasi wa M23 walioibuka tena mwishoni mwa 2021, na kuathiri vibaya uhusiano kati ya Congo na Rwanda. Katika Maoni mbele ya Meza Duara Mohammed Khelef anahpji kwa nini hali imefikia hapo na lipi suluhisho. Anajadili hayo pamoja na Kassim Kayiira, Khalid Hassan, na Gwandumi Mwakatobe