1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SafariKenya

Ndege wawindaji na walao mizoga hatarini kutoweka

29 Januari 2024

Kwa mujibu wa shirika la Nature ecology and evolution zaidi ya asilimia themanini ya ndege wanaowinda na kula mizoga wapo hatarini kutoweka, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya tabia nchi na hata kupigwa na nguvu za umeme.

https://p.dw.com/p/4bnFk