NEW YORK. mswaada kupendekeza nchi za umoja wa Afrika kupeleka wanajeshi wake Somalia
28 Novemba 2006Matangazo
Marekani inatarajiwa wiki hii kuzindua mswaada wa baraza la usalama la umoja wa mataifa utakao ziruhusu nchi za kiafrika kuwapeleka wanajeshi wake wa kulinda amani katika nchi ya Somalia kwa ajili ya kuisaidia serikali ya mpito ya nchi hiyo iliyodhoofika.