AfyaAfrikaOngezeko la watoto njiti nchini Uganda To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAfrikaIbrahim Swaibu/MMT04.01.20214 Januari 2021Nchini Uganda, wizara ya afya inaeleza kuwa kila mwaka watoto njiti 226,000 ndio huzaliwa. Katika makala ya afya yako, leo tunaangazia ongezeko la visa vya kuzaliwa kwa watoto njiti nchini Uganda. Kukuletea Makala hii, ungana na Ibrahim Swaibu. https://p.dw.com/p/3nUSDMatangazo