1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Putin ashinda uchaguzi wa rais

Sylvia Mwehozi
18 Machi 2024

Nchi washirika wa Urusi wampongeza Putin kwa ushindi wa kishindo unaompa muhula mwingine madarakani, lakini viongozi wa Mataifa ya Magharibi wameukosoa uchaguzi huo wakisema haukuwa halali. #kurunzi

https://p.dw.com/p/4drjD