1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Ruto asema hali ya kifedha nchini Kenya ni mbaya

John Juma30 Septemba 2022

Rais wa Kenya William Ruto ameanza uongozi wake kwa kuzitaka wizara mbalimbali kukata bajeti zao ili kupata shilingi za Kenya bilioni 300 kulipa deni, wakati akikiri hali ya nchi kifedha si nzuri. Hayo yamo kwenye hotuba yake ya kwanza siku ya Alhamisi bungeni. Lakini je kwa kiasi gani mipango ya Rais Ruto ina uhalisia. John Juma amezungumza na Mchumi Charles Karisa kutoka Mombasa.

https://p.dw.com/p/4Ha1q