Ulaya yatolewa wito kuanzisha sera ya pamoja ya ulinzi
21 Januari 2025Matangazo
Zelensky amehoji ikiwa kweli rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kuiunga mkono jumuiya ya kujihami ya NATO na usalama wa Ulaya.
Urusi,Ukraine zashambuliana kwa droni usiku kucha
Katika hotuba yake muda mfupi uliopita kwenye jukwaa la kiuchumi la kimataifa huko Davos,Uswizi, Zelensky amekwenda mbali na kuhoji ikiwa kweli Trump atakuwa tayari kuziheshimu taasisi za Umoja wa Ulaya.