JamiiTanzaniaRedio: Nyenzo ya mawasiliano inayokwenda na wakatiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiTanzaniaHawa Bihoga13.02.202413 Februari 2024Kila ifikapo Februari 13, dunia inaadhimisha siku ya redio.Tangu mawimbi ya redio ya kwanza kusikika, imekuwa zaidi ya karne yenye mapinduzi makubwa katika kuhabarisha umma. Kauli mbiu ya mwaka huu "karne ya kuhabarish, kuelimisha na kuburudisha."https://p.dw.com/p/4cLaNMatangazo