HistoriaAfrikaRudolf Manga Bell: Mfalme wa Cameroon aliyesimama dhidi ya ukoloni wa UjerumaniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoHistoriaAfrikaYusra Buwayhid14.02.202114 Februari 2021Mfalme Rudolf Douala Manga Bell wa Cameroon alisoma Ujerumani na kuupenda sana ustaarabu wa taifa hilo. Lakini baadae alikosana nao pale wakoloni wa Kijerumani walipoanza kuwanyanyasa watu wake. Mwishowe, walimnyonga kwa kupigania haki za watu wake.https://p.dw.com/p/3pJwIMatangazo