1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sababu za Nyalandu kujiondoa CCM hizi hapa

1 Novemba 2017

Nchini Tanzania kilichogonga vichwa vya habari wiki hii ni kujiuzulu katika nafasi yake ya ubunge wa Singida Kaskazini kwa tiketi ya chama tawala nchini Tanzania CCM, na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili wa taifa hilo Lazaro Nyalandu kwa kile alichoeleza kuwa ni kutoridhishwa kwake na mwenendo wa hali ya kisiasa na mengine mengi. Sudi Mnette amezungumza na Nyalandu kwa kina katika Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/2mpz0