Waziri mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok aachia ngazi. Hatua yake inaiacha Sudan katika misukosuko zaidi kisiasa tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Oktoba mwaka jana. #Kurunzi. Swali kuu linalosalia katika vinywa vya watu ni je, ni vipi Sudan itajiondoa katika zogo la kisiasa linaloikabili?