1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Syria: Wafungwa chini ya utawala wa Assad waachiwa huru

Hawa Bihoga
3 Januari 2025

Chini ya utawala wa Bashar Assad, maelfu walitoweka na wengine kufungwa gereza nchini Syria. Baada ya kuanguka kwa utawala wake, baadhi ya Wasyria ambao walifungwa kwa miaka mingi waliunganishwa tena na familia zao.

https://p.dw.com/p/4onT0