1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taaifa ya habari ya asubuhi 09.01.2017

Sylvia Mwehozi
9 Januari 2017

Tuliyo nayo asubuhi katika taarifa ya habari: Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema mtu aliyefanya shambulio mjini Jerusalem alikuwa ni mfuasi wa kundi la IS. Vikosi maalumu vya jeshi la Iraq vimesogea hadi katika mto wa Tigris unaougawa mji wa Mosul kati kwa kati. Na hali mbaya ya hewa barani Ulaya yagharimu maisha ya watu.

https://p.dw.com/p/2VUyV