Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel apuuzia ukosoaji uliotolewa na rais mteule wa Marekani, Donald Trump kuhusu sera yake ya wakimbizi//Mshukiwa wa shambulizi katika klabu ya usiku mjini Istanbul, Uturuki wakati wa sherehe za Mwaka Mpya amekamatwa//Jaji Mkuu wa Gambia amejitoa kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Rais Yahya Jammeh ya kuzuia sherehe za kuapishwa rais mteule, Adama Barrow