Rais wa Marekani, Donald Trump amezuru Texas na kujionea mwenyewe madhara yaliyosababishwa na kimbunga Harvey // Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya Korea Kaskazini kurusha kombora lililopita katika anga ya Japan // Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutteres ameukosoa msimamo wa Israel kuhusu makaazi ya Wayahudi.