1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya subuhi 02.05.2023

Josephat Charo
2 Mei 2023

Umoja wa Mataifa watahadhirisha wimbi kubwa la watu wanaoikimbia Sudan huenda likasababisha mgogoro wa wakimbizi. Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky ataka mfumo wa ulinzi wa anga la nchi yake uimarishwe. Na Mjumbe maalumu wa Marekani kwa ajili ya Yemen azitembelea Oman na Saudi Arabia.

https://p.dw.com/p/4QmK6