Mahakama ya mjini New York kutoa uamuzi juu ya kesi dhidi ya Donald Trump kabla ya kuapishwa // Kundi la Hamas limesema lingependa kufikia makubaliano ya kusitisha vita "haraka iwezekanavyo" // Umoja wa Ulaya wasema unafuatilia kwa karibu mchakato wa kisiasa unaoendelea nchini Syria.