1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya asubuhi 08.03.2024

Sylvia Mwehozi
8 Machi 2024

Rais wa Marekani Joe Biden atoa hotuba yake ya mwisho kuhusu hali ya taifa ya Marekani//Ujerumani na Uingereza zinalenga kuimarisha ushirikiano ndani ya jumuiya ya NATO//M23 wadhibiti eneo jingine wakati mapigano yakiendelea kwa siku ya tatu nchini Kongo.

https://p.dw.com/p/4dI8l