1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 09/03/2024

V2 / S12S9 Machi 2024

Uturuki yajitolea kuzipatanisha Urusi na Ukraine katika juhudi za kusaka amani //Umoja wa Mataifa wazitaka pande hasimu Sudan kusitisha mapigano wakati wa Ramadhan //Shambulio linaloshukiwa kuwa la Wahouthi lasabaisha milipuko Ghuba ya Aden.

https://p.dw.com/p/4dKa8