Watu wapatao 30 wameuawa na wengine 94 wamejeruhiwa kutokana na shambulio la bomu la kujitoa muhanga katika sherehe ya harusi Uturuki, Maelfu ya watu wameandamana mji mkuu wa Yemen kuwaunga mkono waasi wa Houti, na tume huru ya uchaguzi DRC yasema uchaguzi wa mwezi Novemba utalazimika kuahirishwa.