Wakenya washiriki kwenye zoezi la kupiga kura ya urais ya marudio. Mahakama nchini Uturuki yawaachia wanaharakati wanane wa haki za binadamu. Shirika la watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF lasema idadi ya watu kuongezeka maradufu barani Afrika ifikapo mwaka 2050.