Jeshi la Israel limewaua waandamanaji saba katika mpaka wa ukingo wa Gaza. Rais wa zamani wa Brazil- Luiz Inacio Lula da Silva, anafanya mazungumzo ya kujisalimisha, baada ya muda aliopewa na mahakama kujisalimisha na aanze kutumikia kifungo cha miaka 12 jela, kumalizika. Marekani imewawekea vikwazo washirika wa karibu wa rais wa Urusi Vladimir Putin