1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 25.03.2017

V2 / S12S25 Machi 2017

Miongoni mwa taarifa: Warepublican waahirisha kura ya kupinga sheria ya Afya ya Obamacare. Umoja wa Ulaya waadhimisha miaka 60 tokea ulipoundwa. Umoja wa Mataifa waikosoa Isarael kwa ujenzi katika Ukingo wa Magharibi.

https://p.dw.com/p/2Zw9j