Watu 235 wauawa katika shambulio la msikiti wa Misri la hapo jana. Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa aahidi kutengeneza nafasi za ajira. Kiongozi wa chama cha SPD Martin Schulz na kansela wa Ujerumani Angela Merkel kukutana wiki zijazo kujadili serikali ya mseto.