1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW KIswahili: 02.09.2023

2 Septemba 2023

Kiongozi wa kijeshi nchini Gabon asema anataka kuepuka kukimbilia chaguzi zinazorudia makosa yaliopita, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron asema anazungumza kila siku na rais wa Niger aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum na mavazi marefu yapigwa marufuku katika shule nchini Ufaransa

https://p.dw.com/p/4VsCw