1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 10.10.2023

10 Oktoba 2023

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aitaka Israel kuheshimu sheria za kimataifa, wakati ikifanya operesheni zake za kijeshi katika Ukanda wa Gaza, mkuu wa Shirika la UNCTAD Rebeca Grynspan, akutana na maafisa wa Urusi mjini Moscow na mahakama moja ya Nairobi nchini Kenya yasitisha kwa muda mpango wa serikali wa kutuma maafisa wa polisi wa nchi hiyo nchini Haiti

https://p.dw.com/p/4XKEx
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)