1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBrazil

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 23.02.2024

23 Februari 2024

Mawaziri wa mambo ya nje wa G20 waunga mkono suluhisho la mataifa mawili kwa mzozo wa Gaza, Marekani kuweka vikwazo kwa zaidi ya wahusika 500 wa vita vya Urusi nchini Ukraine na Rais wa Senegal asema ukomo wa uongozi wake ni tarehe 2 mwezi Aprili

https://p.dw.com/p/4cmKi