Mjini Berlin Ujerumani, hufanyika tamasha kubwa la kidijitali linaloitwa republica. Tamasha hilo huleta pamoja wadau mbali mbali wa teknolojia na kidijitali, kuonyesha na kujadiliana kuhusu maendeleo ya sekta hiyo na changamoto zake. Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia tamasha hilo na kukujuza kuhusu baadhi ya waafrika walioshiriki.