1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SafariTanzania

Tanzania: Kuhama kwa nyumbu hifadhi ya Serengeti

30 Agosti 2023

Hili ni miongoni mwa tukio la kustajabisha na linatajwa kuwa ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia na la tatu kwa barani Afrika, katika tukio hili makumi kwa maelfu ya nyumbu wanahama kutoka katika hifadhi za nchini Kenya ikiwemo Masaimara hadi katika hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania. Nini kinachowafanya kuhama? Tazama video.

https://p.dw.com/p/4VkTU