Chama tawala nchini Tanzania CCM, hivi karibuni kimefanya mageuzi makubwa ya ndani ya chama ikiwa ni pamoja na kuwatimua makada kadhaa, lengo likiwa ni kukijenga upya chama hicho na kukiimarisha zaidi. Mohammed Dahman amefanya mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Bw. Humprey PolePole juu ya mageuzi hayo makubwa ndani ya chama. Fuatilia mazungumzo yao katika Makala ya Kinagaubaga.