1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiAmerika ya Kaskazini

Trump awasili mahakamani kujitetea dhidi ya udanganyifu

6 Novemba 2023

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amefika mbele ya mahakama ya Manhattan kutowa ushahidi wa kujitetea katika kesi inayomhusisha na udanganyifu kuhusiana na thamani ya mali zake.

https://p.dw.com/p/4YTf8
Rais wa zamani wa Marekani Donal Trump  akiwasili mahakamani
Rais wa zamani wa Marekani Donal Trump akiwasili mahakamaniPicha: Jeenah Moon/REUTERS

Mashtaka yanayomkabili Trump katika kesi hiyo yanagusa mali na biashara zake alizozijenga kwa miongo. 

Soma pia:Rais wa zamani kutoa ushahidi wa kujitetea mahamakani kuhusu udanganyifu

Kufikika mahakamani leo kwa Trump huenda pia kukawa ni mwanzo wa kile ambacho kiinaweza kuamuwa juu ya mustakabali  wake katika uchaguzi wa mwaka 2024  ikiwa atateuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais
 

DW Kiswahili | Saumu Mwasimba
Saumu Mwasimba Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW