1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tunisia yaizima ndoto ya Madagascar katika robo fainali, AFCON

12 Julai 2019

Tunisia wamefuzu kuingia nusu fainali ya michuano ya kuwania kombe la mataia ya Afrika baada ya kuinyuka Madagascar mabao 3-0. Hata hivyo mashabiki wa Madagascar wamesema hawajakata tamaa, kwani hii ni mara yao ya kwanza kushiriki na wamefurahishwa na hatua ambayo timu yao imepiga.

https://p.dw.com/p/3Lz5T