1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kura zaanza kuhesabiwa Zanzibar

25 Oktoba 2015

Kura zimeanza kuhesabiwa katika baadhi ya vituo huko Zanzibar, lakini kuna ripoti juu ya matukio ya watu kupigwa. Mwandishi na mchambuzi Salim Said Salim ameshuhudia tukio la aina hiyo. Kwa zaidi sikiliza hapa.

https://p.dw.com/p/1Gu15
Tansania Wahlen
Picha: Reuters/E. Herman

[No title]