SiasaAfrikaNani kuchukua uongozi wa Chadema uchaguzi wa 2025?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAfrikaYakub Talib21.01.202521 Januari 2025Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kinafanya uchaguzi kumpata mwenyekiti wake ambaye atakiongoza chama hicho kwa miaka ijayo. Mchuano mkali upo kwa Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa sasa pamoja na Makamu wake Tundu Lissu. https://p.dw.com/p/4pQAeMatangazo