Hatima ya Zanzibar26.10.201526 Oktoba 2015Hali visiwani Zanzibar ni tete na hasa kutokana na uzoefu wa chaguzi zilizopita ishara zinatajwa kwamba huenda hatma ya visiwa hivyo ikawa ya mashaka. Msikilize chambuzi wa Kimataifa kutoka London bwana Ahmed Rajab.https://p.dw.com/p/1GuEdPicha: DW/M. KhelefMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio