JamiiUjerumani yatiwa moyo na Taasisi ya Moyo ya Jakaya KikweteTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiMohammed Khelef28.01.201928 Januari 2019Naibu Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania anasema nchi yake inafurahishwa na hatua kubwa zinazopigwa kwenye suala la matibabu ya matatizo ya moyo yanayofanywa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kurunzi 28.01.2019https://p.dw.com/p/3CJJZMatangazo