Umoja wa Afrika na amani katika nchi za Maziwa Makuu
14 Machi 2007
Baraza la usalama na amani la Umoja wa Afrika, leo limekutana mjini Addis Ababa kuzungumzia maendeleo ya utekelezaji wa amani katika nchi za eneo la maziwa makuu.
https://p.dw.com/p/CHIA
Matangazo
Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Ababa anaripoti zaidi.