Umoja wa Afrika na Baraza la amani na usalama wakutana mjini Addis Abeba
20 Juni 2007
Baraza la amani na usalama na Umoja wa Afrika lilitarajiwa kukutana mjini Addis Abeba,Ethiopia kujadili kuhusu hali ilivyo katika jimbo la Darfur nchini Sudan.
https://p.dw.com/p/CHCT
Matangazo
Mwandishi wetu wa mjini Addis Abeba Anaclet Rwegayura anaripoti.