SiasaJamhuri ya Kidemokrasia ya CongoUN yaondoa vikwazo vya silaha na huduma za kijeshi DRC To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJamhuri ya Kidemokrasia ya CongoJean Noel Ba Mweze21.12.202221 Desemba 2022Azimio la Umoja wa Mataifa la kuondoa vikwazo vya silaha na huduma za kijeshi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni mpango wa Ufaransa, ambayo pia ilihamasisha kupitishwa kwa azimio hilo kwa kauli moja katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.https://p.dw.com/p/4LGoVMatangazo