JamiiUpimaji wa VVU TanzaniaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLilian Mtono13.07.201813 Julai 2018Hivi ni kweli wanaume huko nchini Tanzania mna uwoga ama ni wazito kupima afya zenu? Na vipi kuhusu hii kampeni ya kupima Ukimwi iliyoanzishwa na serikali, na nyie mkilengwa zaidi? Hebu tushirikishane hapa. Ni wanaume tu ama ni jamii kwa ujumla? https://p.dw.com/p/31OUjMatangazo