1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Urusi, Iran na Uturuki wana tofauti ila kwanini wamekutana?

21 Julai 2022

Mkutano wa marais wa Urusi, Uturuki na Iran uliofanyika Jumanne mjini Tehran unaimarisha mahusiano baina ya madola hayo matatu. Hata hivyo mataifa hayo matatu yanatofautiana kimtazamo kuhusu masuala mengi ya ulimwengu ikiwemo mzozo wa Syria. Rashid Chilumba amezungumza na Abdulfatah Mussa, mwandishi habari na mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini Tehran.

https://p.dw.com/p/4ER3W