Kenya yaadhimisha miaka 54 ya uhuru kutoka Uingereza, Urusi na Uturuki zaiokosoa Marekani kwa msimamo wake kuelekea mji wa Jerusalem na wanawake waandamana jijini New York kupinga udhalilishaji kingono unaoshutumiwa kufanywa na rais huyo wa Marekani. Papo kwa Papo 12.12.2017.