1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usafiri mbadala

13 Agosti 2020

Katika miji mingi mikubwa nchini Ujerumani usafiri wa umma ni wa kuaminika, lakini bado kuna baadhi ya watu, wanaopenda kuendelea kutumia usafiri binafsi. Harrison Mwilima anatuonesha hali ilivyo akiwa mjini Berlin.

https://p.dw.com/p/3guPl