Ushiriki katika siasa - Kipindi 5 – Ukweli au udanganyifu
5 Aprili 2011
Tutagundua ukweli na udanganyifu. Eveline ambaye ni mbunge amekamatwa kwa rushwa. Betty amepambana na vita vigumu kuwania uongozi wa kundi la kwaya na kaka yao Ronnie ameshauriwa na baba yake juu ya mafunzo yake ya soka.