1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushirikiano baina ya Chama cha CUF cha Tanzania na cha FDP cha Ujerumani.

26 Septemba 2006

Hivi punde Wakfu wa Friedrich Neumann ulio karibu na chama cha kiliberali cha Free Democratic, FDP, hapa Ujerumani kiliwaalika wabunge kutoka nchi za Kiafrika wenye ushirikiano na chama hicho.

https://p.dw.com/p/CHLK
Watanzania walipokuwa wanapiga kura mwaka jana.
Watanzania walipokuwa wanapiga kura mwaka jana.Picha: AP

Katika ratiba yao waliweza kutembezwa katika jumba hili la Radio Deutsche Welle hapa Bonn. Kutoka Tanzania walikuwa Hamad Rashid Mohammed, kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania, na Bibi Fatma Fereji , mjumbe wa Baraza la wawakilishi, Visiwani Zanzibar. Wote wawili ni wa kutoka Chama cha CUF. Niliweza kuzungumza nao katika studio zetu, na kwanza Bwana Hamad Rashid Mohammed alielezea hivi kuhusu uhusiano wa chama chao na Chama cha FDP…

Insert: Interview…

Na kwa mazungumzo hayo niliofanya pamoja na Bwana Hamad Rashid Mohammed , kiongozi wa upinzani katika Bunge la Tanzania, na Bibi Fatma Fereji, mjumbe wa Baraza la wawakilishi la Zanzibar ndio namaliza makala haya ya DARUBINI.